Assalamu Alaikum ndugu yangu katika imani! Karibu sana katika jumuiya yetu ya kislam IFM MUSLIM SOCIETY (IMUS).Mnamo mwaka 1972 iliundwa jumuiya hii kwa malengo mbali mbali, wakati malengo mama ni mawili i)Kuwaunganisha waislamu wanaosoma IFM na kuweza kujumuika pamoja katika uwanja wa taaluma. ii)Kutatua changamoto za kimasomo ambazo zinajitokeza hapo chuoni. Tokea kipindi hicho hadi sasa jumuiya imekuwa ikiendeleza malengo hayo huku ikijikita kutanua wigo wa ufanisi kwa kutekeleza baadhi ya majukumu yake kama sio yote kwa kutumia njia za kisasa zenye ufanisi zilizo rahisi kwa kila mtu.

Ndugu mwanafunzi unakumbushwa kujisajili, ili kuweza kupata huduma mbali mbali ambazo imus zimekuandalia. Ahsanteni

Imetolewa na:
Idara ya mawasiliano

Sala ni ibada inayozingatia matamshi na vitendo mwanzoni kwake hadi mwishoni.
mwanzo wa sala

LOGIN/REGISTER